sw_tn_fork/num/09/06.md

25 lines
440 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# walionajisika kwa sababu ya maiti
"walinajisika kwa sababu ya kugusa maiti"
# kunajisika
Mtu ambaye Mungu anamwona hakubaliki kiroho ni yule ambaye katika hali ya mwili alikuwa amenajisika.
# kuishika Pasaka
Tazama 9:4
# kwa sababu ya maiti
"kwa sababu tumegusa maiti"
# kwa nini basi unatutaka tuendelee kutoa sadaka ... wana wa Israeli?
Si sahihi kutuzuia kutoa sadaka ... kati ya wana wa Israeli.
# uliopangwa
"ulioamriwa"