# walionajisika kwa sababu ya maiti "walinajisika kwa sababu ya kugusa maiti" # kunajisika Mtu ambaye Mungu anamwona hakubaliki kiroho ni yule ambaye katika hali ya mwili alikuwa amenajisika. # kuishika Pasaka Tazama 9:4 # kwa sababu ya maiti "kwa sababu tumegusa maiti" # kwa nini basi unatutaka tuendelee kutoa sadaka ... wana wa Israeli? Si sahihi kutuzuia kutoa sadaka ... kati ya wana wa Israeli. # uliopangwa "ulioamriwa"