sw_tn_fork/rev/20/13.md

29 lines
971 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Bahari iliwatoa wafu ... Kifo na kuzimu viliwatoa wafu
Hapa Yohana anazungumzia bahari, kifo na kuzimu kana kwamba ni watu hai.
# wafu walihukumiwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mungu aliwahukumu wafu"
# Kifo na kuzimu zilitupwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Mungu alizitupa kifo na kuzimu" au "Malaika wa Mungu walizitupa kifo na kuzimu"
# kuzimu
Hapa "kuzimu" ni njia nyingine ya kusema mahali ambapo wasioamini wanapokwenda pale wanapokufa ili kusubiri hukumu ya Mungu.
# mauti ya pili
"kufa mara ya pili." Hii inaelezwa kama adhabu ya milele katika ziwa la moto katika 20:13 na 21:7. "kifo cha mwisho ni ziwa la moto"
# Kama jina la yeyote halikupatikana limeandikwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Kama malaika wa Mungu hawakupata jina la mtu"
# litupwa ndani ya ziwa la moto
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "malaika alimtupa katika ziwa la moto" au "malaika alimtupa mahali ambapo moto unawaka milele"