sw_tn_fork/rev/07/11.md

29 lines
797 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Malaika wote ... wenye uhai
"Malaika wote walisimama kuzunguka kiti cha enzi pamoja na wazee na wenye uhai wanne.
# viumbe wenye uhai wanne
Hawa ni viumbe wanne waliotajwa katika 4:6
# wakainama chini ardhini na wakaweka nyuso zao juu ya ardhi
"walisujudu"
# Sifa, utukufu ... kwa Mungu wetu
"Mungu wetu anastahili sifa zote, utkufu, hekima, shukrani, heshima, uwezo na nguvu"
# Sifa, utukufu ... shukurani, heshima ... viwe kwa Mungu wetu
Kitenzi "toa" inaweza kutumika kuonesha jinsi gani sifa, utukufu, na heshima "niza" Mungu. "Tunapaswa kumpa sifa , utukufu, shukrani, na heshima Mungu wetu"
# hekima ... uwezo na nguvu viwe kwa Mungu wetu
"Mungu wetu ana hekima yote, uwezo na nguvu"
# milele na milele
Haya maneno mawili yanamaana moja na yanasisitiza kuwa sifa haitaisha.