sw_tn_fork/psa/062/001.md

37 lines
900 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# Taarifa ya Jumla:
Zaburi hii ni wimbo kuhusu uaminifu wa Mungu.
# Kwa mwanamuziki mkuu
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu"
# Yeduthuni
Mmoja wa wanamuzi wakuu wa Daudi alikuwa na jina hili. Hii inaweza kumaanisha ni yeye.
# Zaburi ya Daudi
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
# wokovu wangu unatoka kwake
"yeye ndiye anayeniokoa"
# Yeye pekee ni mwamba wangu na wokovu wangu
Mwandishi anazungumzia uwezo wa mungu kumlinda kana kwamba Mungu ni mwamba. "Yeye pekee ndiye anayeweza kunilinda na kuniokoa"
# yeye ni mnara wangu wa juu
Mwandishi uwezo wa Mungu kumlinda kana kwamba Mungu ni mnara wa juu. "ananiepusha na kushikwa na adui"
# sitasogezwa sana
"hakuna kitu kinachoweza kunisogeza kamwe"