sw_tn_fork/neh/03/06.md

25 lines
529 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yoyada...Pasea na Meshulamu...Besodeya...Melatia...Yadoni
Haya ni majina ya watu
# kuweka milango yake
"ameweka milango yake" au "kuweka milango yake mahali"
# vyuma vyake na makomeo yake
"kufuli na komeo zake." Hizi zimefungwa malango kwa usalama.
# Gibeoni...Meronothi
Wagibeoni na Meronothi ni makundi ya watu.
# Gibeoni na Mispa
Haya ni majina ya mahali
# mkoa wa ng'ambo ya Mto
Hili ndiyo jina la mkoa ambao lilikuwa magharibi ya Mto Efrati. Ilikuwa ng'ambo ya mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 2:7.