# Yoyada...Pasea na Meshulamu...Besodeya...Melatia...Yadoni Haya ni majina ya watu # kuweka milango yake "ameweka milango yake" au "kuweka milango yake mahali" # vyuma vyake na makomeo yake "kufuli na komeo zake." Hizi zimefungwa malango kwa usalama. # Gibeoni...Meronothi Wagibeoni na Meronothi ni makundi ya watu. # Gibeoni na Mispa Haya ni majina ya mahali # mkoa wa ng'ambo ya Mto Hili ndiyo jina la mkoa ambao lilikuwa magharibi ya Mto Efrati. Ilikuwa ng'ambo ya mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 2:7.