sw_tn_fork/psa/145/014.md

17 lines
409 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# anashikilia wote wanaoanguka ... anawainua wote walioinama
Mwandishi anamzungumzia Yahwe kuwatia moyo watu kana kwamba alikuwa akiwasaidia watu waliokuwa wandhaifu kimwili. "huwatia moyo wale walio kata tamaa"
# Macho ya wote yanasubiri
"Kila mtu anasubiri"
# Unafungua mkono wako
"Unatoa kwa ukarimu"
# kuridhisha hamu za kila kiumbe hai
"unampa kila mtu zaidi ya anachohitaji na kiasi anachotaka"