# anashikilia wote wanaoanguka ... anawainua wote walioinama Mwandishi anamzungumzia Yahwe kuwatia moyo watu kana kwamba alikuwa akiwasaidia watu waliokuwa wandhaifu kimwili. "huwatia moyo wale walio kata tamaa" # Macho ya wote yanasubiri "Kila mtu anasubiri" # Unafungua mkono wako "Unatoa kwa ukarimu" # kuridhisha hamu za kila kiumbe hai "unampa kila mtu zaidi ya anachohitaji na kiasi anachotaka"