sw_tn_fork/psa/143/009.md

17 lines
470 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nakimbia kwako kujificha
Maana zinazowezekana ni 1) "Nakimbia kwako ili nijifiche" na 2) "Nakimbia kwako ili unifiche na kunilinda."
# kufanya mapenzi yako
"kufanya unachotaka nifanye"
# aniongoze katika nchi ya unyofu
Maana zinazowezekan ni 1) "nasaidie niishi kwa haki" au 2) "maisha yangu yawe huru na taabu"
# nchi ya unyofu
Maana zinazowezekana ni 1) hii ni sititari ya kuishi maisha ya haki au 2) "nchi tambarare," sitiari ya maisha yasiyokuwa na taabu.