# Nakimbia kwako kujificha Maana zinazowezekana ni 1) "Nakimbia kwako ili nijifiche" na 2) "Nakimbia kwako ili unifiche na kunilinda." # kufanya mapenzi yako "kufanya unachotaka nifanye" # aniongoze katika nchi ya unyofu Maana zinazowezekan ni 1) "nasaidie niishi kwa haki" au 2) "maisha yangu yawe huru na taabu" # nchi ya unyofu Maana zinazowezekana ni 1) hii ni sititari ya kuishi maisha ya haki au 2) "nchi tambarare," sitiari ya maisha yasiyokuwa na taabu.