sw_tn_fork/psa/080/017.md

17 lines
408 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mkono wako
Hii inamaanisha uwezo na nguvu ya Yahwe.
# mtu wa mkono wako wa kuume
taifa la Israeli, ambalo Yahwe amelichagua kama watu wake
# mkono wako wa kuume
Mtu katika Israeli alipotaka kumpa heshima mtu mwingine, alimweka mtu mwingine kusimama katika upande wake wa kuume, karibu na mkono wake wa kuume.
# hatutakugeuka
"hatutaacha kukuabudu na kukutii" au "daima tutakuabudu na kukutii wewe"