# mkono wako Hii inamaanisha uwezo na nguvu ya Yahwe. # mtu wa mkono wako wa kuume taifa la Israeli, ambalo Yahwe amelichagua kama watu wake # mkono wako wa kuume Mtu katika Israeli alipotaka kumpa heshima mtu mwingine, alimweka mtu mwingine kusimama katika upande wake wa kuume, karibu na mkono wake wa kuume. # hatutakugeuka "hatutaacha kukuabudu na kukutii" au "daima tutakuabudu na kukutii wewe"