sw_tn_fork/psa/071/017.md

25 lines
431 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# umenifundisha
"umenifundisha vitu vingi"
# Mungu, usiniache
"Mungu, tafadhali usiniache"
# nimekuwa nikitangaza nguvu yako
"nimekuwa nikiwaambia watu jinsi ulivyo na nguvu"
# kwa kizazi kifuatacho
"kwa wale ambao ni watoto leo"
# uwezo wako kwa kila mtu atakeyekuja
"na kama ninavyotangaza uwezo wako kwa kila mtu atakayekuja"
# kila mtu atakeyekuja
Hii ni kukuza kwa neno. "ili watu wengi niwezavyo kuwaambia wajue"