sw_tn_fork/psa/044/001.md

37 lines
990 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kihebrania.
# Kwa mwanamuziki mkuu
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu"
# Zaburi ya wana wa Kora
"Hii ni zaburi ambayo wana wa Kora waliandika."
# Maschili
Hii inaweza kuwa mtindo wa muziki.
# Tumeskia kwa maskio yetu, Mungu
Neno "maskio" linaongeza mkazo kwa kauli waliosikia na kuelewa vitu ambavyo mwandishi anataka kueleza. Mwandishi anaeleza kauli hii kwa Mungu. "Mungu, tumesikia vizuri"
# katika siku zao, katika siku za kale
Misemo yote hii miwili inatumia neno "siku" kumaanisha wakati ambao mababu wa watu wa Israeli walipokuwa hai.
# Uliondoa mataifa
"Ulilazimisha watu wa mataifa mengine kuondoka"
# kwa mkono wako
Hapa neno "mkono" linamaanisha nguvu ya Mungu. "kwa nguvu yako"
# uliwapanda watu wetu
Mwandishi anamzungumzia Mungu kusababisha Waisraeli kuishi katika nchi kana kwamba aliyokuwa akiwapanda katika udongo kama ambavyo angepanda mti. "uliwasababisha watu kuishi huko"