sw_tn_fork/1sa/27/05.md

21 lines
408 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama nimepata kibali machoni pako
"kama nimekupendeza" au "kama utanitendea wema"
# wanipatie mahali
"tafadhali nipatie mahali"
# mojawapo ya miji ya nchi
"mojawapo ya miji nje ya jiji"
# kwa nini mtumishi wako akae pamoja na wewe katika mji wa kifalme?
"Mimi sio wa muhimu sana mpaka nikae pamoja na wewe katika mji wa kifalme"
# Mtumishi wako
Daudi anazungumza kwa kuonesha heshima kwa Akishi.