# Kama nimepata kibali machoni pako "kama nimekupendeza" au "kama utanitendea wema" # wanipatie mahali "tafadhali nipatie mahali" # mojawapo ya miji ya nchi "mojawapo ya miji nje ya jiji" # kwa nini mtumishi wako akae pamoja na wewe katika mji wa kifalme? "Mimi sio wa muhimu sana mpaka nikae pamoja na wewe katika mji wa kifalme" # Mtumishi wako Daudi anazungumza kwa kuonesha heshima kwa Akishi.