sw_tn/psa/110/007.md

20 lines
691 B
Markdown

# Atakunywa kwenye kijito njiani
Mfalme anasimama kidogo tu kwa ajili ya kinywaji na kisha anaendelea kuwafuatilia adui zake. "Akiwa anawafuatilia adui zake, atasimama tu kunywa kwenye kijito"
# kwenye kijito
Hii inamaanisha kuwa atakunywa maji kutoka kwenye kijito. Kijito ni mto mdogo. "atakunywa maji kutoka kwenye kijito"
# na kisha
"kwa hiyo"
# atainua kichwa chake
Maana zinazowezekana ni 1) mfalme anainua kichwa chake mwenyewe au 2) Yahwe anainua kichwa cha mfalme.
# atainua kichwa chake juu baada ya ushindi
Watu waliinua vichwa vyao walipokuwa washindi, walipojiamini na walipokuwa wenye furaha. "atainua kichwa chake kwa kujiamini baada ya ushindi" au "atakuwa mshindi"