sw_tn/psa/109/017.md

24 lines
880 B
Markdown

# na imrudie juu yake
"laana zake zije juu yake"
# Alijivika kwa kulaani kama vazi lake
Daudi anazungumzia tabia ya mtu mwovu kana kwamba ni vazi lake. "Aliwalaani watu wengine mara nyingi kama avaavyo nguo. au "Aliwalaani watu muda wote"
# kama vazi lake
"kana kwamba yalikuwa mavazi yake"
# laana ikaja kwake kama maji, kama mafuta kwenye mifupa yake
Maana zinazowezekana ni: 1) Alizungumza laana sana hadi zikawa sehmu ya utambulisho wake. "laana anazozungumza ni sehemu yake alivyo" au 2) laana alizozizungumza zilimtokea yeye. "yeye mzima alilaaniwa kwa laana aliyozungumza"
# kama maji
Hii inamaanisha jinsi mtu alivyokunywa maji. "kama maji ambayo mtu hunywa"
# kama mafuta kwenye mifupa yake
Hii inamaanisha jinsi mafuta yanavozama kwenye mifupa yanapopakwa kwenye ngozi. "kama mafuta ya mzeituni yanavyozama kwenye mifupa ya mtu yanapopakwa kwenye ngozi yake"