sw_tn/psa/105/001.md

16 lines
422 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Usambamba ni kawaida katika shairi ya Kiebrania.
# liite jina lake ... Jivunie katika jina lake takatifu
Hapa "jina" inawakilisha Yahwe. "muite yeye ... Jivunie ndani ya Yahwe"
# mataifa
Hii ina maana ya watu katika mataifa. "watu wa mataifa"
# acha moyo wa wale ambao humtafuta Yahwe washangilie
Hapa "moyo" inawakilisha mtu ambaye humtafuta Yahwe. "acha watu ambao humtafuta Yahwe washangilie"