323 B
323 B
Sentensi unganishi
Wale watumishi wanaendelea kuongea na mfalme wa Edomu
Hatutageuka upande wa kulia wala wa kushoto
Neno "kugeuka" linamaanisha kuiacha barabara, "Hatutaiacha barabara kwa uelekeo wowote"
nia kuu ya mfalme
Hii ni barabara kuu inayounganisha mpaka Dameski hadi Kaskazini kwenye ghuba ya Akabahi.