354 B
354 B
Sentensi unganishi
Mungu anaendelea kuongea na Musa
hayo matoleo mazuri
"hayo matoleo m azuri ambayo mmepokea toka kwa watu wa Israeli"
nafaka zote zinazobaki
"nafaka" haya nimatoleo ambayo watu wa Israeli humpa Mungu na Walawi huzipokea.
Hamtakuwa na hatia yeyote kwa kuvila na kuvinywa
"hamtakuwa na hatia pale mtakapovila na kuvinywa"