341 B
341 B
Sentensi unganishi
Mungu an endelea kuongea na Haruni
Utanyunyizia damu yake
"mtawachinja na kunyunyizia damu yake"
sadaka ya moto
"ambayo imetengenezwa kwa moto"
harufu nzuri ya kumpendeza BWANA
"BWANA atapendezwa nanyi"
kidali cha kuinuliwa na paja la kulia
"kidali na paja la kulia ambalo utaliinua kama sadaka kwangu"