sw_tn/num/15/06.md

12 lines
243 B
Markdown

# sehemu za kumi mbili za efa
efa moja ni kipimo kilicho sawa na lita 22. "lita 4" au "lita nne na nusu"
# sehemu ya kumi ya efa
"karibu lita 2" au "lita mbili"
# itatoa harufu nzuri kwa BWANA
"Mtampendezesha BWANA kwa kutoa sadaka hiyo"