"Anayeweza" hapa ni yule kuhani aliye na kasoro za kimwili.
"kula matoleo ya chakula ya Mungu wake." sehemu ya dhabihu ilikuwa ya makuhani na ingeweza kuliwa.
"Wana wa Aroni"