610 B
610 B
Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaanza kuwaambia Musa na Aroni ni wanyama gani ambao watu wanatakiwa kuwaona najisi.
Nanyi mtakuwa najisi hata jioni kutokana na wanyama hawa endapo mtagusa mizogo yao
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Miili ya wanya wanyama hawa waliokufa itawafanya nyinyi kuwa najisi kama mtagusa mmojawapo.
mtakuwa najisi
Mtu asiyekubalika kwa kusudi la Mungu kwa sababu amegusa mojawapo ya miili ya wanyama waliokufa anazungumziwa kana kwamba amekuwa si mchafu kimaumbile.
wanyama hawa
Hii hurejelea wanyama anaotaka kuwaorodheshaa katika mistari inayofuata.