# Taarifa ya jumla:
Bwana anazungumza juu ya mambo yatakayotokea kwa Elamu.
# Analosema Bwana
"Alilosema Bwana"
# tuma upanga
"tuma maadui ili wawaue"
# Nitaweka ufalme wangu
"Nitaanzisha utawala wangu "