# Nitawatia katika mikono yao
Hapa neno "mkono" linamaanisha "nguvu" au "utawala"
# kwa wao kunitendea vibaya
Neno "wao" linamaanisha Watu wa Yuda.