662 B
662 B
Ikatokea kwamba
Maneno haya yanaonesha umuhimu wa tukio katika simulizi.
Wao waliposikia
Neno "wao" linamaanisha wakuu.
Maneno haya yote
maneno yote ambayo Baruku aliyasoma kwa nguvu toka kwenye kitabu.
Uliyaandikaje
"uliyaandika kwa namna gani"
Aliyosomewa na Yeremia
"Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia"
Kusema
Yeremia alizungumza kwa nguvu ili Baruku aandike maneno yake.
kuyaandika na wino
"alitumia wino kuandika"
wino
Wino mweusi unaotumika kuandikia
Na Yeremia pia
"Yeremia pia anatakiwa ajifiche."
Mko wapi
Maneno haya yanawaelezea Baruku na Yeremia.