Huu ni wakati ambapo Mungu atawaadhibu waovu.
Angalia tafsiri kutoka sura ya 1:7.
Nafsi inayotajwa hapa, "alinitokea", inawakilisha watu wa Israeli.