Maneno haya yanailinganisha adhabu na ghadhabu au hasira ya Mungu na tufani.Hii inaweka msisitizo kuhusu nguvu na uwezo wake wa kuwaharibu watu waovu.