sw_tn/jer/06/16.md

1.3 KiB

Simama kwenye njia panda

BWANA anaongea na watu wa Israeli.

Simama kwenye njia panda ...Htutaenda

Haya mabarabara na njia inamaanisha aina ya maisha ambyo watu wanaishi. BWANA anataka watu wa Israeli waulize aina ya maisha mazuri kwao kuishi.

uliza njia za zamani

"uliza mababu zao waliishije"

Niliweka walinzi juu yenu ... Hatutasikia

BWANA anawaeleza manabii kama walinzi ambao walitumwa kuwaonya watu katika hatari.

niliwaweka.. juu yenu

Kiwakilishi "yenu" kinamaanisha Israeli

wasikilize tarumbeta

"kusiliza sauti za tarumbeta" BWANAanawaamuru watu wasikilize maonyo ambayao aliwapatia kupitia kwa manabii.

Kwa hiyo, sikilizeni, enyi mataifa! Tazamaeni enyi mashahidi, muone kile kitakachowapata. Sikia wewe dunia, Tazama.

Virai hivi vitatu vyote viinawaambia watu wa mataifa mengine kushudia kile ambacho BWANA atafanya kwa hili taifa pinzanij la Yuda.

Niko tayari kuleta janga kwa watu hawa

"kwa haraka nitawaadhibu watu hawa"

enyi mashahidi

"enyi ambao mtashuhudia"

kitakachowapata

"neno "wa" linamaanisha watu wa Israeli.

sikia wewe, dunia

"Sikia, watu wanaoishi katika dunia."

matunda ya fikra zao

"janga ni matokeo ya fikra zao."

Hwakusikiliza neno langu wala sheria zangu badala yake walizikataa.

"Hawakusikiliza nilichowaambia kufanya"