16 lines
582 B
Markdown
16 lines
582 B
Markdown
# Taarifa ya jumla:
|
|
|
|
Bwana anazungumza juu ya Israeli.
|
|
|
|
# Efraimu alijiunga na sanamu; mwache peke yake
|
|
|
|
Efraimu ni watu wa kaskazini mwa ufalme wa Israeli. Walichagua kuabudu miungu badala ya Bwana. Bwana anamuamuru Hosea asijaribu kuwarekebisha maana hawatasikia.
|
|
|
|
# watawala wake hupenda sana aibu yao
|
|
|
|
Viongozi hawaoni aibu ya kile walichokifanya wanapoabudu miungu na kugeuka dhidi ya Bwana.
|
|
|
|
# Upepo utamfunga kwa mabawa yake
|
|
|
|
Hapa "upepo" unawakilisha hukumu ya Mungu na hasira juu ya taifa la Israeli. Bwana ataruhusu maadui wawashinde watu wa Israeli na kuwachukua mateka.
|