sw_tn/gen/29/23.md

24 lines
962 B
Markdown

# aliyelala naye
Inadokezwa ya kwamba Yakobo hakujua alikuwa na Lea kwa sababu ilikuwa giza na hakuweza kuona. Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi.
# Labani akampa mtumishi wake wakike Zilpa ... mtumishi wake
Hapa mwandishi anatoa taarifa ya nyuma kuhusu Labani kumpa Zilfa kwa Lea. Inawezekana alimpa Zilfa kwa Lea kabla ya harusi.
# Zilpa
Hili ni jina la mtumishi wa Lea.
# tazama, kumbe ni Lea
"Yakobo alishangazwa kuona ilikuwa ni Lea kitandani pamoja naye". Neno "tazama" hapa linaonyesha ya kwamba Yakobo alishtushwa na kile alichokiona"
# Ni nini hiki ulichonifanyia?
"Yakobo alishangazwa kuona alikuwa Lea kitandani pamoja naye." Neno "tazama" hapa linaonyesha ya kwamba Yakobo alishtushwa na kile alichoona.
# Je sikukutumikia kwa ajili ya Raheli?
Yakobo anatumia maswali haya kuonyesha maumivu yake ya kwamba Labani alimdanganya. Swali hili la balagha linaweza kutafsiriwa kama kauli. "Nimekutumikia kwa miaka saba kumuoa Raheli"