sw_tn/ezk/36/07.md

16 lines
412 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Huu ni mwendelezo wa ujumbe wa Yahwe kwa mataifa ya Israeli.
# Mimi mwenyewe nitainua mkono wangu kuapa
"mimi mwenyewe nitainua mkono wangu kuapa" Kuinua mkono inaonyesha kwamba kweli atafanya kile alicho kiapia'
# kwamba mataifa yanayowazunguka yamkini yatawabebea aibu yao
"yamkini watu wakawadhihaki mataifa yaliyokuzunguka"
# kuzunguka
Neno "wewe" linarejea kwa milima ya Israeli.