sw_tn/ezk/03/14.md

1.2 KiB

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaonekana alinkuwa na hasira kwa sababu Yahwe alimpeleka kunena na watumwa Waisraeli, hivyo kuasi juu ya Yayhwe mwenyewe. Ingawa alipaswa kunena nao, alikuwa kimya kwa mda wa siku saba, ingawa aliisikia hasira ya Yhawe.

kwa uchungu katika hasira kali rohoni mwangu

Neno "uchungu" na "hasira" ni aina ya hasira. "nilikuwa mwenye uchungu na roho yangu alikuwa amejaa hasira" au "nilikuwa na uchungu sana na hasira."

uchungu

Ezekieli anazungumzia hasira yake kwa Yahwe kana kwamba kulikuwa na ladha mbaya kinywani kwa sababu Yahwe alimlazimisha kitu ambacho kinaladha mbay.

kwa kuwa mkono wa Yahwe alikuwa na nguvu zikigandamiza juu yangu

Ezekieli anazungumzia kuwa na huzuni na kuchoka kwa sababu Yahwe alimwamuru kufanya mambo ambayo hakuyataka kuyafanya kana kwamba Yahwe alikuwa akimsukuma chini kwenye nchi.

mkono wa Yahwe

neno "mkono" mara nyingi limetumika kurejea nguvu ya mtu au tendo "uweza wa Yahwe."

Tel Abibu

Mji katika Babeli, kama kilomita 80 kusini mashariki mwa mji mkuu, ambayo iliitwa Babeli pia.

Kebari Kanali

Huu mtu ambao watu katika Kaldea walichimba kupeleka maji kwenye bustani zao.

kushinda katika mshangao

"kutoweza kufanya jambo lolote kwa sababu nilikuwa nimeshangazwa"