394 B
394 B
Sentensi Unganishi
Yahweh anaendelea kumwambia Musa jinsi watu wake wana paswa kutenda kwa watu wa njee.
kwa kuwa wanajifanyia ukahaba kwa miungu yao
Mungu anaongelea watu wengine kuabudu miungu mingine kana kwamba ni makahaba wanaenda kwa wanaume wengine.
na wewe utakula baadhi ya dhabihu zake
Madhara ya kula chakula kilicho tolewa dhabihu kwa mungu mwingine yaweza andikwa wazi.