Hauruhusiwi kumtendea vibaya mjane au mtoto asiye kuwa na baba
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
mjane
"mwanamke aliye poteza mme wake"
mtoto asiye kuwa na baba
"yatima"
nitakuua kwa upanga
Kuuawa "kwa upanga" ni mbadala yenye maana mtu atakufa vibaya sana.