# nipo katika shida kubwa
"nipo katika shida ya kutisha"
# Haya na tuanguke katika mikono ya Yahwe kuliko kuanguka katika mikono ya mwanadamu
Hapa "mikono" inamaanisha mamlaka au umilki.