497 B
497 B
katika mtazamo wa bwana wake
"Mtazamo" wa mfalme unarejea kwa kile afikiriacho kuhusu jambo. "katika maoni ya mfalme"
kwa sababu kwa yeye Yahwe alimpatia Shamu ushindi
Hapa "Shami" inarejea kwa jeshi la Washamu. "kwa sababu kupitia Naamani, Yahwe alimpatia ushindi jeshi la Washamu"
Washami walikuwa wametoka nje
Hapa "Washami" inarejea kwa maaskari wa Sahami.
kuongoza kikundi
"katika makundi madogo kushambulia." Hii inamaanisha kutoka nje kushambulia adui katika makundi madogo.