16 lines
450 B
Markdown
16 lines
450 B
Markdown
# katika kipindi hicho mwaka uliofuata
|
|
|
|
"katika majira yale yale mwaka uliofuata"
|
|
|
|
# Wakati mtoto alipokuwa
|
|
|
|
"wakati mtoto alipokuwa mkubwa"
|
|
|
|
# Kichwa changu, kichwa changu
|
|
|
|
Mtoto alisema hivi kwa sababu kichwa chake kiliuma.
|
|
|
|
# yule mtoto alikaa juu ya magoti yake hadi mchana na kisha akafa
|
|
|
|
Hapa magoti ya mwanamke yanahusu mapaja yake. Alimsaidia mwanaye katika mapaja yake hadi alipokufa. "alimsaidia juu ya mapaja yake hadi mchana kisha akafa"
|