16 lines
474 B
Markdown
16 lines
474 B
Markdown
# ufisadi, nia mbaya, ulevi, ulafi, sherehe za kishenzi, na ibada za sanamu zenye machukizo
|
|
|
|
"dhambi za zinaa, tamaa mbaya, ulevi, sherehe za kinyama na ulevi, na ibada za sanamu ambazo ni chukizo kwa Mungu"
|
|
|
|
# walio hai na waliokufa
|
|
|
|
Inamaanisha watu wote kama bado wako hai au kama wamekufa.
|
|
|
|
# injili ilikuwa imehubiriwa
|
|
|
|
"Kristo aliihubiri habari njema"
|
|
|
|
# ingawa wamekwisha kuhukumiwa katika miili yao kama wanadamu
|
|
|
|
"Ingawa Mungu aliwahukumu wakati walikuwa bado hai"
|