sw_tn/jud/01/22.md

17 lines
484 B
Markdown

# baadhi ya watu, ambao wako katika mashaka
"baadhi ya watu, ambao bado hawajaamini kuwa Mungu ni Mungu"
# wanyakueni kutoka katika moto
"ili kwamba wasije wakaenda kwenye ziwa la moto"
# na kwa baadhi yao onesheni huruma kwa hofu
"na muwe wakarimu kwa wengine bali ogopeni kutenda dhambi kama wao."
# mkichukia hata vazi lililotiwa doa na mwili
"chukieni hata mavazi yao, kwa sababu yamefayika kuwa machafu kwa dhambi." Wamejaa dhambi hivyo hata mavazi yanafikiriwa machafu.