1.1 KiB
Ikiwa mmekufa pamoja na Kristo katika mtiririko wa imani ya dhambi za ulimwengu.
Fumbo hili linaonesha kwamba, kama vile mtu anavyokufa kimwili hayatii tena mahitaji ya kimwili ya ulimwengu ( pumzi, kula, sleep), mtu anayekufa kiroho pamoja na Kristo haitaji tena kuyatii mambo ya duniani .
Kwa nini mnaishi kama manawajibika kwa dunia: "msiguse"?
Paulo ametumia swali hili, kukemea Wakolosai kwa ajili ya imani isiyo ya kweli ya ulimwengu. Acheni kujinyenyenyekesha kwa imani za ulimwengu.
ishi kama mnawajibika kwa dunia
"fikiri lazima mzitii tamaa za dunia"
dunia
mawazo, tamaa, na dhana za wingi wa dhambi katika dunia ya watu
yameamriwa kwa ajili ya uharibifu
"kuangamia." Paulo hapa anatumia mfano kuchimbua mwili ("uharibifu") kwenye kaburi.
Sheria hizi zinahekima ya dini zilizotengenezwa kwa ubinafsi na unyenyekevu na mateso ya mwili
kutengeneza dini na unyenyekevu na nguvu ya mwili**- "Hizi sheria zinaonekana pana kuamini watu kwa sababu zinawaruhusu wale ambao wanaowafwata kuonekana wanyenyekevu kwa sababu wanaumiza miili yao wenyewe"
hazina thamani dhidi ya tamaa za mwili
"msiache kusaidia kufuata mwili wa tamaa"