16 lines
795 B
Markdown
16 lines
795 B
Markdown
# Kwa nini unamuhukumu ndugu yako? Na wewe kwa nini unamdharau ndugu yako?
|
|
|
|
Paulo anaeleza jinsi ambavyo anaweza kuwakemea miongoni mwa wale wasomaji wake. "Ni vibaya kwako kumhukumu ndugu yako, na ni vibaya kwako kumdharau ndugu yako!" au " Usimuhukumu na kumdharau ndugu yako!"
|
|
|
|
# Kwa sababu sisi sote tutasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu
|
|
|
|
"Kiti cha hukumu"kinaashiria mamlaka ya Mungu ya kuhukumu. kwa kuwa Mungu atatuhukumu sisi sote"
|
|
|
|
# Kama niishivyo
|
|
|
|
Sentensi hii inatumika kuanzisha kiapo au kiapo makini. "Unaweza kuwa na uhakika kuwa hii ni kweli"
|
|
|
|
# Kwangu mimi kila goti litapigwa, na kila ulimi utatoa sifa kwa Mungu
|
|
|
|
Paulo anatumia maneno "Goti" na "ulimi" kumaanisha mtu. Pia,Bwana anatumia neno "Mungu" kumaanisha yeyemwenyewe. " Kila mtu atainama na kutoa sifa kwangu"
|