25 lines
732 B
Markdown
25 lines
732 B
Markdown
# Kuhusu bidii, msiwe na wasiwasi. Kuhusu roho, myatamani. Yanayohusu Bwana, mtumikieni.
|
|
|
|
"Msiwe wavivu kwenye zamu zenu, bali mtamani kumfuata roho na kumtumikia Bwana"
|
|
|
|
# Furahini kwa ujasiri mlionao kuhusu siku zijazo.
|
|
|
|
"Kuweni na furaha maana ujasiri wenu upo katika Mungu"
|
|
|
|
# Mvumilie katika matatizo yenu
|
|
|
|
"Muwe wavumilivu wakati mgumu unapokuja"
|
|
|
|
# Endeleeni kuomba
|
|
|
|
"Na mkumbuke kuomba kila mara"
|
|
|
|
# Mshiriki katika mahitaji ya waumini.
|
|
|
|
Hili ni jambo la mwisho kwenye orodha inayoanza
|
|
"Kuhusu mahitaji ya waamini, mshiriki pamoja nao" au "Ikiwa" au "Wakristo wenzako wakiwa na tatizo, musaidie kile wanachohitaji"
|
|
|
|
# Mtafute njia nyingi za kuonesha ukarimu.
|
|
|
|
"Muwakaribishe nyumbani kwenu ikiwa wanahitaji mahali pa kukaa"
|