24 lines
875 B
Markdown
24 lines
875 B
Markdown
# Kwao
|
|
|
|
Hii inawaelezea Wayahudi wasioamini
|
|
|
|
# Dunia
|
|
|
|
Hii inamaanisha watu wa duniani.
|
|
|
|
# kupokelewa kwao kutakuwaje ila uhai toka kwa wafu?
|
|
|
|
"Hivyo basi, Mungu atawapokea vipi wakimwamini Kristo? Itakuwa kama wamekuja tena kwenye uhai toka kwenye kifo"
|
|
|
|
# Kama matunda ya kwanza ni takatifu, hivyo ni bonge la unga.
|
|
|
|
Paulo anamfananisha Ibrahimu, Isaka na Yakobo, mababu wa Israeli na ngano ya kwanza kuvunwa, na Waisraeli ambao ni uzao wa wanaume hao ni unga unaotokana na ngano itakayovunwa baadae.
|
|
|
|
# Kama mizizi ni takatifu, vivyo hivyo na matawi
|
|
|
|
Paulo anamfananisha Ibrahimu, Isaka na Yakobo, mababu wa Israeli na mizizi ya mti, na Waisraeli ambao ni uzao wa wanaume hao kama matawi ya miti.
|
|
|
|
# Takatifu
|
|
|
|
Mazao ya kwanza kuvunwa daima yanakuwaga "matakatifu" hii ni, yameachwa kwa ajili ya Mungu. Hapa "mazao ya kwanza" yanasimama kwa watu wa kwanza kumuamini Kristo.
|