28 lines
1005 B
Markdown
28 lines
1005 B
Markdown
# Maelezo yanayounganisha:
|
|
|
|
Paulo anaendelea kuonyesha kwamba Mungu, kwa sheria zake, anawaadhibu hata Wayahudi ambao wana sheria za Mungu.
|
|
|
|
# Kwa kuwa tohana imekupa faida wewe
|
|
|
|
"Nasema haya yote kwa sababu kutahiriwa kumekupa faida"
|
|
|
|
# Kama ukiwa mkiukaji wa sheria
|
|
|
|
"Kama usipotii amri zilizopo katika sheria"
|
|
|
|
# Kutahiriwa kwako kutakuwa kutokutahiriwa
|
|
|
|
Hii inamfananisha Myahudi asiyetii sheria na mtu ambaye ametahiriwa lakini anaonekana kama hajatahiriwa : anaweza kuwa Myahudi lakini akaishi kama mtu wa Mataifa. "Ni kama vile haujatahiriwa"
|
|
|
|
# Mtu asiyetahiriwa
|
|
|
|
"Mtu ambaye hajatahiriwa"
|
|
|
|
# Kuyashika maagizo ya sheria
|
|
|
|
"kutii kilichoamriwa kwenye sheria"
|
|
|
|
# kutokutahiriwa kwake hakuwezi kuchukuliwa kama kutahiriwa? Na ambaye hajatahiriwa kwa asili hawezi kukuhukumu... sheria?
|
|
|
|
Paulo aliuliza maswali mawili kusisitiza kuwa kutahiriwa sio jambo la kumfanya mtu kuwa na haki mbele za Mungu. "Mungu atamchukulia kama mtu aliyetahiriwa.... na mtu ambaye hajatahiriwa ... atakuhukumu... sheria."
|