36 lines
1.2 KiB
Markdown
36 lines
1.2 KiB
Markdown
# Sentensi unganishi:
|
|
|
|
Paulo amesema kuwa wato wote ni wenye dhambi na anaendelea kuwakumbusha kuwa watu wote ni waovu.
|
|
|
|
# Kwa hiyo umekosa sababu ya kujitetea
|
|
|
|
Neno "kwa hiyo" linaonyesha sehemu mpya ya barua. Inaonyesha suluhisho la sentensi ikionyesha yaliyosemwa "tangu Mungualipowaadhibu watu wanaoendelea kutenda dhambi, na hataonea huruma kwa sababu ya dhambi zao"
|
|
|
|
# Wewe ni
|
|
|
|
Paulo haongei na mtu. Anajifanya kama Myahudi anayelumbana naye. Paulo anafanya haya kuwafundisha wasikilizaji wake kuwa Mungu atamhukumu kila mtu anayeendelea kutenda dhambi, awe Myahudi au wa Mataifa.
|
|
|
|
# Wewe
|
|
|
|
Hapa neno "wewe" ni umoja.
|
|
|
|
# Wewe mtu, wewe unayehukumu
|
|
|
|
Hapa neno "mtu" ilitumika kumdhihaki mtu aliyefikiri anaweza kufanya kama Mungu na kuwahukumu wengine. "Wewe ni binadamu tuu, lakini unawahukumu wengine na kusema kuwa wanastahili hukumu ya Mungu"
|
|
|
|
# kwa unavyohukumu kwa wengine unahukumu kwako mwenyewe.
|
|
|
|
"Lakini unajihukumu mwenyewe kwa sababu unafanya mambo maovu kama wanavyofanya wengine"
|
|
|
|
# Lakini twajua
|
|
|
|
Hii inajumuisha Wakristo walioamini na Wayahudi ambao sio Wakristo.
|
|
|
|
# Hukumu ya Mungu ni kutokana na kweli ikiwaangukia wao
|
|
|
|
"Mungu atawahukumu watu kwa kweli na haki"
|
|
|
|
# Wale wanaofanya mambo hayo
|
|
|
|
"watu wanaofanya mambo maovu"
|