sw_tn/num/36/03.md

24 lines
564 B
Markdown

# utaondolewa kutoka kwenye mgao wa mababu zao
"kamwe hatutakuwa kwenye mgao wa Mababu zetu"
# Utaongezwa
"Utakuwa mali ya"
# utaondolewa kwenye mgao uliopangwa kwenye urithi wetu.
"Kamwe hautakuwa sehemu ya urithi wetu"
# mwaka wa yubilee ya wana wa Israeli
Hi ni sherehe inayotokea mara moja kila baada ya miaka hamsini. Katika sherehe hii, ardhi yote iliyouzwa lazima arudishiwe mmiliki wake wa kwanza.
# mgao wao utaunganishwa
"mgao wao utakuwa mali ya..."
# mgao wao utaondolewa kwenye mgao wa mababu zao
"watachukua mgao wa ardhi wa kabila letu"